KLABU SIMBA SPORT YAREJEA LEO JIJINI DAR ES SALAAM


 Wachezaji wa Simba SC, Nicolaus Gyan na Asante Kwasi wakiwasili leo jijini Dar es Salaam kutokea visiwani Zanzibar  mara baada ya kuondolewa katika Michuano ya  Kombe la Mapinduzi baada ya kushika nafasi ya tatu katika msimamo wa kundi A.

Comments

Popular posts from this blog

Msimu Mpya: Samatta Afanya Maangamizi Ubelgiji

ALIYEIPELEKA TAIFA STARS AFCON 1980 AFUNGUKA WALIVYOPAMBANA – VIDEO

Simba Vs Azam: Mtakula za Kutosha!