EXTRA TIME: GOLIKIPA WA SIMBA AISHI MANULA AFUNGA NDOA NA MCHUMBA WAKE WA MUDA MREFU
Aishi Manula ambaye amejiunga na Simba msimu huu akitokea klabu ya Azam, amekuwa kwenye kiwango bora na kuiwezesha klabu yake kuongoza msimamo wa Ligi Kuu Bara
Kupitia akaunti yake ya Instagram, mlinda mlango huyo ameposti picha mbali mbali za harusi zikimuonesha yeye pamoja na mchumba wake wakihashiria kuna jambo la furaha linaendelea muda huo
Goal linamtakia maisha mema mlinda mlango huyo kwenye maisha mpya anayoenda kuya anza baada ya kuachana na ukapela
Comments
Post a Comment