Posts

Showing posts from December, 2018

CHUKUA MKOPO WA HARAKA NA UPEWE BONUS YA TSH.10,000/= KWA M-PESA AU TIGOPESA KUPITIA "BRANCH".

Image
CHUKUA MKOPO WA HARAKA NA UPEWE BONUS YA TSH.10,000/= KWA M-PESA AU TIGOPESA KUPITIA "BRANCH".  Umepata emergency yoyote na unahitaji pesa kwa haraka? Unahitaji mkopo? BRANCH ni Application iliyoanzishwa na Mzungu kutoka Marekani inayotoa mikopo direct kwenye simu yako. Unachohitaji ni kuDownload Application hii na kujaza maswali utakayoulizwa ikiwemo majina yako kamili, namba ya simu, namba ya leseni au kitambulisho cha kazi,taifa, kura, n.k. Mkopo ni instantly unatumiwa kwenye simu yako na wanakupa na repayment period. Application hii inafanya kazi only in Kenya and Tanzania. Trust me these applications dont disappont. Unakuwa na hela sasa hivi. BRANCH inakupa mkopo wa haraka na bonus ya 10,000 baada ya kukopa Namna ya kujiunga : TEMBELEA PLAYSTORE KISHA DOWNLOD "BRANCH" STEP 1 Chagua lugha / Choose Your Language STEP 2 Ukishaifungua app yako ya BRANCH .... Bonyeza NEW ACCOUNT (ACCOUNTMPYA) ipo sehemu ya chini, katika maneno yaliyoandikwa : OR REGEST

SIMBA WAFUNGWA NA NKANA FC BAO 2-1, ZAMBIA

Image
TIMU ya  Simba imefungwa bao 2-1 dhidi ya Nkana FC kwenye Uwanja wa Nkana, Kitwe, Zambia unaobeba mashabiki 10,000 katika mchezo muhimu wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Mabao ya Nkana FC yamefungwa na Ronald Kampamba dakika ya 27 kipindi cha kwanza na Kelvin Kampamba dakika ya 56 kipindi cha pili. Simba wamepata bao  kupitia kwa John Bocco kwa mkwaju wa penati dakika ya 73 kipindi cha pili baada ya Meddie Kagere kuangushwa kwenye eneo la hatari.

YONDANI: BOBAN KASAINI, WAMEKWISHA

Image
KELVIN Yondani juzi jioni aliwasha WhatsApp yake akaanza kucheka. Washikaji waliokuwa karibu nae wakaanza kujiuliza kulikoni, kwani kuna habari gani? Baadaye akawaambia mwanangu kasaini. Wakawa wanajiuliza mwanae yupi? Akawaonyesha picha ya Haruna Moshi ‘Boban’ akimwaga wino kuichezea Yanga miezi sita. Sasa jana Ijumaa Yondani ambaye ataukosa mchezo wa kesho Jumapili dhidi ya Ruvu Shooting, mwenyewe amezungumza na  Championi Jumamosi  akatamka kwamba katika usajili wa maana ambao Mwinyi Zahera ameufanya msimu huu ni wa Boban. Yondani ambaye ni nahodha wa Yanga aliweka wazi kwamba awali aliusifia usajili wa Mrisho Ngassa baadhi ya watu wakawa wanaguna lakini sasa amewaziba midomo uwanjani. Boban ambaye mpaka sasa amefunga mabao mawili ligi kuu, juzi alisaini mkataba wa miezi sita Yanga kwa dau la Shilingi milioni 25 akitokea African Lyon ambayo hali yao ilivyo tete ni Mungu anajua. Boban aliyewahi kuichezea Simba kwa mafanikio, amesajiliwa na Yanga baada ya koch

WANACHAMA YANGA WAGOMEA UCHAGUZI

Image
MATAWI ya Yanga, Kanda ya Kinondoni wameafikiana kwa pamoja kutoshiriki uchaguzi Mkuu wa klabu hiyo mwezi ujao, Mwenyekiti wao, Shabani Msonja amethibitisha. “Hatupo tayari kwa uchaguzi ambao TFF watausimamia na kama watatuhitaji sisi Kanda ya Kinondoni, sio peke yetu bali hata kanda nyingine pia hawapo tayari kwa ajili ya uchaguzi,’’alisema mbele ya wanachama wengine kwenye mkutano wao, Magomeni Mwembechai, Jijini Dar es Salaam. “Ndugu zetu Jonas Tiboroha na Mbaraka Igangula wamejitakia matatizo wenyewe maana wanagombea kuiongoza timu kwa mwaka mmoja. We fikiria Yanga na matatizo yetu mwaka mmoja unatosha kufanya maendeleo gani, sasa wajiandae kuja na polisi kila watakapotaka kuingia ndani ya jengo la Yanga,”alisema kiongozi huyo. Msonja ambaye alisema msimamo huo ni wa matawi 45 ya Yanga kwenye Kanda hiyo inayojumuisha na Ubungo.

CHUKUA MKOPO WA HARAKA NA UPEWE BONUS YA TSH.10,000/= KWA M-PESA AU TIGOPESA KUPITIA "BRANCH".

Image
CHUKUA MKOPO WA HARAKA NA UPEWE BONUS YA TSH.10,000/= KWA M-PESA AU TIGOPESA KUPITIA "BRANCH".  Umepata emergency yoyote na unahitaji pesa kwa haraka? Unahitaji mkopo? BRANCH ni Application iliyoanzishwa na Mzungu kutoka Marekani inayotoa mikopo direct kwenye simu yako. Unachohitaji ni kuDownload Application hii na kujaza maswali utakayoulizwa ikiwemo majina yako kamili, namba ya simu, namba ya leseni au kitambulisho cha kazi,taifa, kura, n.k. Mkopo ni instantly unatumiwa kwenye simu yako na wanakupa na repayment period. Application hii inafanya kazi only in Kenya and Tanzania. Trust me these applications dont disappont. Unakuwa na hela sasa hivi. BRANCH inakupa mkopo wa haraka na bonus ya 10,000 baada ya kukopa Namna ya kujiunga : TEMBELEA PLAYSTORE KISHA DOWNLOD "BRANCH" STEP 1 Chagua lugha / Choose Your Language STEP 2 Ukishaifungua app yako ya BRANCH .... Bonyeza NEW ACCOUNT (ACCOUNTMPYA) ipo sehemu ya chini, katika maneno yaliyoandikwa : OR REG

ZAHERA, MAKAMBO WAKIMBIZA TUZO LIGI KUU

Image
Klabu ya soka ya Yanga kupitia kwa mshambuliaji wake, Heritier Makambo na kocha, Mwinyi Zahera imeibuka kinara kwenye tuzo za mchezaji bora na kocha bora wa mwezi Novemba. Shirikisho la soka nchini (TFF), leo limetangaza mshambuliaji wa Yanga, Heritier Makambo kuwa mchezaji bora wa mwezi Novemba wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL). Makambo raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwashinda nyota wengine Said Dilunga wa Ruvu Shooting na beki Abdallah Shaibu wa Yanga. Aidha kamati ya tuzo hizo pia imemchagua Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera kuwa Kocha Bora wa Novemba akiwashinda Kocha Mkuu wa Coastal Union, Juma Mgunda na Kaimu Kocha Mkuu wa Alliance FC, Gilbert Dadi alioingia nao fainali. Ndani ya mwezi Novemba, Yanga imeshinda mechi 3 dhidi ya Ndanda FC, Mwadui FC na Kagera Sugar huku mchezaji Heritier Makambo akifunga mabao 2 katika mechi hizo.

Munala confirmed at KCB as the bankers sign seven Pipeline players

Image
Coach Kenya Pipeline Women team Japheth Munala (left) and player Agripinah Kundu during National Volleyball playoff tournament at Kasarani stadium on Sunday, Dec 3, 2018. [Jonah Onyango, Standard] After several weeks of speculations, national women’s volleyball team coach Japheth Munala has finally been appointed as KCB head coach. Munala replaces David Muthui, who has been serving on an interim capacity since the sacking of Vernon Khainga a few months ago. This comes barely a week after the experienced coach oversaw Kenya Pipeline relinquish their national title to rivals Prisons Kenya during the Kenya Volleyball League play-offs at the Kasarani Gymnasium. Munala has moved back to the bankers alongside seven key players from his former Embakasi-based side as he begins the club’s rebuilding process ahead of next year’s African Club Championship in Egypt. They are former KVF most valuable player Violet Makuto, Noel Murambi, Jemima Siangu (left attackers), Leonida Kasaya (cent

Gor Mahia, Sharks head West in next round of matches

Image
Goalkeeper Gor Mahia FC Boniface Oluoch seems to be telling his coaleagues to be on the watchout during KPL Match against AFC at Nyayo National Stadium, Oct 23, 2016. [PHOTO: JONAH ONYANGO/STANDARD] For the first time in many years, two Kenyan clubs have made it to the first round of the Confederation of African Football (CAF) tournament and are lined up for millions after reaching group stages. Gor Mahia needed post-match penalties to edge out Nyasa Big Bullets of Malawi 4-3 in their CAF Champions League preliminary match in Blantyre on Wednesday. The hosts had won the match 1-0 for an aggregate score of 1-1 as Gor Mahia had won the first leg with a similar margin. Kariobangi Sharks edged out Djibouti’s Arta Solar 9-1 on aggregate in the preliminary stage of the Confederations Cup. They had won the first leg 6-1 and followed it up with a 3-0 win in the return match. Kenyan clubs have over the years been struggling to make it past the preliminary stage of the continental foo

SIMBA YAITUPA NJE MBAMBANE SWALLOWS KWA MABAO 8-1

Image
TIMU ya Simba, leo imeibuka na ushindi  wa bao 4-0 dhidi  ya Mbambane Swallows ya Swaziland katika mchezo wa marudiano wa Mabingwa Afrika . Wafungaji wa Simba katika mechi hiyo ni  Cletus Chama dakika 28 na 33, Emmanuel Okwi  dakika 51 na Meddie Kagere  dakika ya 63. Kwa ushindi huo, Simba wamewatupa nje ya mashindano hayo  Mbambane Swallows kwa jumla ya mabao 8-1. Mechi ya kwanza iliyofanyika jijini Dar es Salaam, Simba ilishinda mabao 4-1.

BEKI MPYA SIMBA AKABIDHIWA DOZI NENE

Image
BEKI mpya wa Simba, Zana Coulibaly, amefunguka kuwa ameshindwa kusafiri na timu hiyo kwa kuwa hayupo kwenye michuano hiyo, lakini akasema ameachiwa programu maalum ya mazoezi ili kuwa fiti zaidi kabla ya wenzake kurejea. Coulibaly, raia wa Burkina Faso, amejiunga na Simba kwa mkataba wa miaka miwili katika usajili wa dirisha dogo unaotarajiwa kufungwa Desemba 15, mwaka huu lakini hakuweza kusafiri na timu hiyo kwenda nchini Eswatini katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mbabane Swallows kutokana jina lake kutokuwepo kwenye michuano hiyo. Akizungumza na Championi Jumatano, Coulibaly alisema kuwa licha ya kutoshiriki michuano hiyo, ameachiwa programu maalum ya mazoezi anayofanya asubuhi na jioni. “Sijasafiri kwa sababu sichezi mashindano hayo na jina langu bado halijaenda Caf kwa kuwa sikuwepo awali kwenye timu lakini kwa kuwa nimesaini mkataba wa miaka miwili, basi nitacheza huko mbele kwenye hatua nyingine. “Lakini mwalimu ameniachia programu m

BALLON D’OR: MODRIC AMALIZA UFALME WA MESSI, RONALDO

Image
Mohammed Salah ndiyo mchezaji pekee kutoka Afrika aliyeingia katika 10 bora kwa kushika nafasi ya sita, na ndiyo mchezaji kinara kutoka Ligi ya Premier ya England. Modric alikuwa ni miongoni mwa wachezaji wanane wa Real Madrid kati ya wachezaji 30 waliokuwa wakiwania tuzo hiyo, akiwemo Gareth Bale aliyemaliza katika nafasi ya 17. Mshambuliaji wa Lyon na Norway Ada Hegerberg, 23, ameshinda tuzo ya kwanza ya Ballon d’Or kwa wachezaji wa kike huku Mbappe, 19, akishinda tuzo ya Kopa inayotolewa kwa mchezaji bora chini ya miaka 21 kwa kupigiwa kura na washindi wa zamani wa Ballon d’Or. 10  Bora ya Ballon d’Or 1. Luka Modric (Real Madrid and Croatia) 2. Cristiano Ronaldo (Juventus and Portugal) 3. Antoine Griezmann (Atletico Madrid and France) 4. Kylian Mbappe (Paris St-Germain and France) 5. Lionel Messi (Barcelona and Argentina) 6. Mohamed Salah (Liverpool and Egypt) 7. Raphael Varane (Real Madrid and France) 8. Eden Hazard (Chelsea and Belgium) 9. Kevin de Bruyne (

RASMI SONSO AMALIZANA NA YANGA SC

Image
YANGA imelamba dume! Unaweza kusema hivyo baada ya kumalizana na beki wa kati mwenye kiwango cha juu wa Lipuli FC, Ally Mtoni ‘Sonso’, sasa ataungana na kikosi hicho kesho Jumapili. Yanga ilianza mbio za kumuwania mlinzi huyo ambaye alionyesha uwezo mkubwa kwenye mechi ya timu ya taifa, Taifa Stars iliyocheza dhidi ya Lesotho katika mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Mataifa Afrika. Championi Jumamosi  ambalo lipo mkoani Iringa, lilizungumza na mlinzi huyo ambaye alikuwa na nyota wenzake wa Lipuli kwa mara ya mwisho kabla ya kwenda kuanza maisha mapya pale Yanga jijini Dar. Sonso ambaye ni mrefu na amefuga rasta kichwani mwake, amelihakikishia  Championi Jumamosi  kuwa amemalizana na Yanga na anachosubiri kwa sasa ni viongozi wa Lipuli na Yanga kumalizana kwa ngazi ya uongozi ambao tayari wameanza mazungumzo. “Nimeshamalizana na Yanga, nilikuwa nasubiri viongozi wangu wamalizane na Yanga ili niweze kuondoka. Wameniambia Jumapili ndiyo nitaungana na Yanga. “Nimejis