Posts

Showing posts from August, 2018

MAKAMU RAIS WA FIFA AHUKUMIWA JELA MIAKA TISA

Image
Juan Angel Napout, FIFA's former football federal president (FIFA) has been sentenced to nine years in the United States as a result of corruption investigation carried out in the world's largest football club. Juan Angel Napout, who is from Paraguay, was found guilty of taking millions of dollars in a bribe. This step comes a few days after a four-year prison sentence handed over to Brazil's former footballer Jose Maria Marin, who was also involved in the same suspicions.  Both of them were convicted of receiving bribes from large companies that were promoting FIFA.

MABAO 9 YA KAGERE YAWATIKISA YANGA

Image
Meddie Kagere. KASI ya ufungaji wa mabao ya Meddie Kagere siyo kwamba inawafurahisha Simba tu, imewatia tumbo joto Yanga licha ya kwamba wanabeza. Alichofanya straika huyo raia wa Rwanda kwenye mechi ya ligi dhidi ya Mbeya City alipofunga mabao mawili ya vichwa kiliwaamsha mashabiki wa Simba lakini kwenye jukwaa la Yanga na penyewe kuliibuka mi­jadala juu ya ufundi wake. Mabao hayo ambayo yalifungwa kiufundi kwenye engo ngumu, yaliwafikirisha mashabiki wa Yanga ambao muda mwingi walikuwa kwenye vikundi wakimjadili zaidi mchezaji huyo ingawa walijipa matumaini kwamba Mkongomani wao, Heritier Makambo naye ni tishio. Mchezaji, mwanachama na kocha wa zamani wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ alisema; “Kagere ni mchezaji mzuri ambaye ni wazi anajua kupambana hata suala la ufungaji ma­bao siyo ajabu, sasa uw­ezo wake uwanjani sio wa kubeza lakini Makambo yeye nimemuona kwenye mechi moja, kama ataen­delea vizuri basi atakuwa mchezaji mzuri sana.” Kagere mpaka sasa amefun

WAAMUZI WAMEFIKIA HATUA YA KUHARIBU UTAMU WA LIGI

Image
TAYARI tume­shashuhudia viwan­ja kadhaa hapa nch­ini mechi za Ligi Kuu Bara kwa msimu huu zikichezwa. Ni kwa muda mrefu burudani hiyo ya soka ilikuwa ikisubiriwa. Timu 20 zimeanza kuonyesha uwezo wao ambapo baadhi yao zimecheza mechi mbili tayari huku zingine zikishuka dimbani mara moja. Muamko wa mashabiki kwen­da viwanjani bado hauridhishi kwani wengi wao wameamua kubaki kuangalia kwenye run­inga, kuna umuhimu pia kwa mashabiki kuweza kufika katika viwanja kutoa sapoti kwa timu zao. Kwa kufanya hivyo itakuwa rahisi kuweza kujenga imani na hali ya kujituma zaidi kwa wachezaji kwa lengo la kupata matokeo mazuri kwa kuwa uwepo wa mashabiki, wache­zaji wanapata nguvu ya kupam­bana. Mambo mengi yanayotokea katika ligi hiyo ambayo inaen­delea, kuna umuhimu wa ku­chukua hatua mapema kwa yale ambayo si sahihi kabla ya matukio mengine makubwa hayajawa sugu wakati ligi ikien­delea. Kabla sijakupeleka kwenye jamvi la leo, kuna umuhimu wa kuweza kuwapongeza vi­jana wetu wa Ti

YANGA VS RAYON SPORTS TIME SHIRCHOOD

Image
The team of Yanga. Yanga has dropped today to fight against Rayon Sports in Rwanda a game that will start at 9pm. The game for completing Group D schedules will be played in Kigali City. Beno Collins Elder Shaibu 'Ninja' Gadiel Michael Andrew Vicent 'Dante' Kelvin Yondani Pius Buswita Raphael Daud Deus Kaseke Ibrahim Ajib Matheo Anthony Heritier Clouds This is the Rayon Sports team They fled Abuba Angelic Guardian Rutanga Eric Abdul Rwatubyaye But Gabriel Mugisha Francois Dear Saddam Prosper Donkor Bimenyimana Caleb Muhire Kelvin Manishimwe Djabeli

CRISTIANO RONALDO JR JOIN THE JUVENTUS CHILD'S PARTY

Image
Cristiano Ronaldo Junior, the world's starring Ronaldo, who plays for Juventus, joined the nine-year-old club for Pulcini football soccer. According to Calciomercato, who is Ronaldo 's coach', the boy played with other children of popularity and showed great favor. The center was established, among its goals, to develop the talent of children whose fathers were also a soccer star.

NEYMAR GOES TO BARCELONA

Image
PSG striker Neymar  . PSG coach, Neymar juzi resigned to his former Barcelona team and met with his former colleagues. Neymar retired to the team and met Luis Suarez and Rakitic as one day since he helped his team to win over Angers. The Barcelona players who met Neymar seemed to enjoy where they were talking for a lot of time while laughing. This is a second time Neymar is going to Barcelona since he left there and joined the French PSG last season. The player posted a picture on social networking with the other players while writing that he was very happy to meet them. However, some of the pictures he played while showing Manchester United player's cheeks, Jesse Lingard. It is believed that the friendship of Neymar and Barcelona can die at the end of this season if Brazil really leaves and goes Real Madrid

MOURINHO: I'M THE BEST ENGLAND

Image
Coach Jose Mourinho. MANCHESTER United has been in a bad state after losing second round in Premier League. Coach Jose Mourinho, juzi told reporters after his 3-0 winning strike with Tottenham Hotspur at the Old Trafford Stadium. This is the second game that the team lost after its first fall in the game against Brighton. Coach Muorinho, said he was not satisfied with the result because he is still the best coach in the Premier League and is very popular with fans. "I do not care I still have the best coach in the Premier League and the fans love me. "I am most of the other coaches gathering their cupcakes not to reach the goals I have taken, so I believe I'm better than others and you have to respect me," said Mourinho in anger. The coach said he lost the game but still believes that the team is better and could do well on the league since it showed a very high level of juice. "I do not know what was wrong for us, we played

PLUIJM ATAKA KUSHINDA MECHI ZOTE

Image
Hans van Der Pluijm KOCHA mkuu wa timu ya Azam FC, Hans van Der Pluijm, amesema kuwa mipango yake kwa sasa ni kuhakikisha kwamba wanafanikiwa kushinda mechi zote za ligi kuu ili kuweza kuibuka na ubingwa. Azam wamefanikiwa kushinda mchezo wa pili katika uwanja wa nyumbani Chamazi ambao mchezo wa kwanza walicheza dhidi ya Mbeya City na kushinda kwa mabao 2-0 na mchezo wa pili ni dhidi ya Ndanda walishin­da mabao 3-0. Akizungumza na  Cham­pioni Jumatano,  Pluijm alisema kuwa anashangazwa na uwezo wa wachezaji wake wakiwa uwanjani jambo ambalo ana imani kwamba litakuwa na matokeo mazuri katika michezo yao ya ligi kuu. “Malengo yetu ni kuhak­ikisha kwamba tunafanikiwa kushinda mechi zote ambazo tutacheza nyumbani na ugenini ili kujiweka katika mazin­gira mazuri ya kuweza kuibuka na ushindi kwa kuwa hakuna mwalimu ambaye anafikiria kufun­gwa. “Nidhamu kwa wache­zaji na ushirikiano ni kitu muhimu ambacho kinatupa nafasi ya kushinda kwa kuwa ushindani kwa sasa ni mkubwa

HABARI ZA KITAIFA WACHEZAJI SITA WA SIMBA WAPIGWA CHINI TIMU YA TAIFA

Image
Kocha mkuu Wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa stars Emanuel Amunike amewaondoa wachezaji sita (6)wa sambasc kwa kosa la kuchelewa kuingia kambini. Akizungumza na waandishi Wa habari kwa niaba Ya Kocha huyo Katibu mkuu wa shirikisho la mpira wa miguu nchini tff Wilfred Kidao amesema Kocha Amunike ameamua kuwaondoa kwenye kikosi chake wachezaji sita wa simba kutokana na utovu Wa nidhamu . Kidao amesema Kama shirikisho lilifanya juhudi Ya kuzungumza na wachezaji na uongozi Wa simba ili kujua kikwazo kilocho sababisha wachezaji hao kushindwa kuripoti kambini ambapo mpaka Jana asubuhi ni mchezajin mmoja ambaye ni Aishi Manura. Aidha kidao ameongeza kuwa mapendekezo Ya Kocha yalikuwa yanawahitaji wachezaji Wa simba na Azam fc kuripoti kambini jana kuanzia saa 12 asubuhi na mwisho wa kuripoti ni saa 6 usiku na hadi kufikia muda huo wachezaji wote wa azam walikuwa wamesha ingia kambini huku wa simba waliluwa bado hawajafika. Wachezaji ambao wameenguliwa K

HABARI ZA KIMATAIFA RAYON SPORTS WAWACHUKULIA POA YANGA

Image
Kaptain wa Rayon Sports ya Rwanda Abdul Rwatubyaye amesema Rayon Sports wanaenda kuwavaa Yanga wakiwa hawana presha yoyote kwa kuwa Yanga hawana cha kupoteza hata kama wakifungwa. Mechi ya Rayon Sports vs Yanga itapigwa leo jumatano saa 10:30 kwa muda wa tanzania

FANS MAN U WAMVAA CLUB EXECUTIVE

Image
Man United's executive, Ed Woodward. Manchester United's fans have paid for a huge poster on the air during the game between their team against Burnley and wishes Man United's executive, Ed Woodward, to leave the club. The incident will take place next weekend on the Turf Moor Stadium, during the Premier League match between the teams. Coach Jose Mourinho. The incident came after posting coach Jose Mourinho, complaining that the boss was unable to provide sufficient registration fees. It is believed that the poster will be written 'Ed Out - LUHG', which is the first sign that the boss does not have fans.  LUHG represents Love United, Hate Glazers, namely United United, Wachukie Glazers (club owners) The fans of the team were the first to use the posters to remove their former coach, David Moyes. But Arsenal also used the same way during the coach of Arsene Wenger's coach.

Mshambuliaji wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere. BAADA ya juzi Jumatano mshambuliaji wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere kuifungia timu hiyo bao la ushindi dhidi ya Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, ametabiriwa kuwa ndiye atakayeibuka mfungaji bora msimu huu. Juzi Jumatano, Kagere aliiongoza Simba kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Prisons katika mchezo wa ligi kuu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Akizungumza na Championi Ijumaa, beki wa kulia wa Prisons, Salum Kimenya ambaye katika mechi hiyo alichezeshwa kama kiungo mshambuliaji anayetokea upande wa kulia, alisema: “Napenda kumpongeza Kagere kwa kuitumia vizuri nafasi aliyopata kwani hakutaka kuremba, alipopata mpira aliweza kupiga shuti na kufunga goli, ameonyesha kuwa yupo vizuri kiakili lakini pia kimwili. “Kama angekuwa mchezaji mwingine angejizungusha-zungusha na mwisho tungefika na kumpokonya mpira, kutokana na hali hiyo namtabiria kuwa anaweza kuibuka mfungaji bora kwani nimekuwa nikimfuatilia pia katika mechi nyingine ambazo ameitumikia Simba tangu alipojiunga nayo.”

Image
Their new striker of DR Congo, Heritier Makambo. Yanga international ambassador, Ambassador Tambwe has invited fans and fans of the uncertainty team with the ability of their new DR Congo civilians, Heritier Makambo and has assured them that he is better than former Libyan leader, Donald Ngoma, who is currently in the squad of Azam FC. Tambwe, who has a good record of catching the net on the club since he joined the team in 2014/15 from Simba, has reached the stage after some of the team's fans have compared Cambodian's ability to the Drums while serving the team. "His body (cuts) has been" weakened "because of the hard work he was doing while we were in Morogoro.  He needs two more competitive matches so he can be the same, as I see him do the bigger thing he was Dance. "He knows how to shoot, he knows how to wear his head and feet, he has the ability to stay with the ball, he knows how to make fast but not too cumbersome and to give up

BEKI PRISONS: KAGERE NI HABARI NYINGINE

Image
Mshambuliaji wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere. BAADA ya juzi Jumatano mshambuliaji wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere kuifungia timu hiyo bao la ushindi dhidi ya Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, ametabiriwa kuwa ndiye atakayeibuka mfungaji bora msimu huu. Juzi Jumatano, Kagere aliiongoza Simba kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Prisons katika mchezo wa ligi kuu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Akizungumza na  Championi Ijumaa,  beki wa kulia wa Prisons, Salum Kimenya ambaye katika mechi hiyo alichezeshwa kama kiungo mshambuliaji anayetokea upande wa kulia, alisema: “Napenda kumpongeza Kagere kwa kuitumia vizuri nafasi aliyopata kwani hakutaka kuremba, alipopata mpira aliweza kupiga shuti na kufunga goli, ameonyesha kuwa yupo vizuri kiakili lakini pia kimwili. “Kama angekuwa mchezaji mwingine angejizungusha-zungusha na mwisho tungefika na kumpokonya mpira, kutokana na hali hiyo namtabiria kuwa anaweza kuibuka mfungaji bora kwani nimekuwa

HABARI ZA KITAIFA ,YANGA UWANJANI BILA KOCHA MKUU KWENYE BENCHI DHIDI YA MTIBWA LEO

Image
Kocha mkuu wa Yanga SC raia wa Kongo – DRC , ataendelea kuitazama timu yake ikicheza leo dhidi ya Mtibwa Sugar mechi yake ya kwanza ligi kuu akiwa Jukwaani huku msaidizi wake Mwandila akiongoza timu. Hii inatokana na kuchelewa kutoka kibali chake cha kufanya kazi nchini Tanzania ingawa tayari ana kibali cha ukazi. Uongozi wa Yanga umefuata taratibu zote za kumuombea vibali hivyo , kilichobaki na idara husika za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kukitoa kibali hicho cha pili baada ya taratibu husika kumalizika kufuatwa.

HABARI ZA KITAIFAAZAM FC V MBEYA CITY: PLUIJM APANGA KUANZA MSIMU NA USHINDI

Image
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Hans Van Der Pluijm, ameelezea mikakati yake kuelekea mechi ya ufunguzi wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) dhidi ya Mbeya City. Mholanzi huyo amesema kuwa jambo la muhimu ni kikosi chake kuanza vema msimu wa ligi kesho Alhamisi kwa kuibuka na ushindi dhidi ya timu hiyo yenye maskani yake jijini Mbeya, mchezo utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex saa 2.00 usiku. “Maandalizi yetu kuelekea ligi yamefanyika vizuri matarajio yetu ni makubwa nadhani sio kwetu tu ni kwa kila mtu hadi hivi sasa tuna majeruhi wawili ambao hawawezi kuwepo kwenye mechi ya kwanza watakaokuwepo kwenye mechi zinazofuata lakini nafikiri tunatimu nzuri. “Ninachojua kuhusu Mbeya City, siku zote wamekuwa wapinzani wagumu, sio tu wanapokutana na Azam FC au Simba au Yanga daima wamekuwa wakionyesha zaidi kuliko wanavyoonyesha mechi nyingine lakini najua kitu cha kufanya na ndio maana nipo hapa, tunatarajia mchezo mgumu,” alisema Pluijm. Azam FC itaingia kwenye msimu