WAAMUZI 82 WATEULIWA KUCHEZESHA LIGI TANZANIA BARA 2017/2018




Waamuzi 82 wameteuliwa kuchezesha Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2018/2019,Katika orodha hiyo wapo waamuzi wa katikati 30,Waamuzi wasaidizi 46 na Waamuzi 6 wa akiba.
Ligi kuu Tanzania bara inatarajiwa kuanza katikati ya wiki hii tarehe 22 mwezi August 2018.

Comments

Popular posts from this blog

Msimu Mpya: Samatta Afanya Maangamizi Ubelgiji

BAADA YA KUFUZU KIBABE KWENDA 8 BORA CAF….HILI HAPA NENO LA MO DEWJI KWA SIMBA…