BREAKING NEWS: MANJI ATINGA TAIFA, AWAONA WACHEZAJI



Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ametinga Uwanja wa Taifa muda huu na kuingia moja kwa moja kwenye vyumba vya wachezaji wa timu hiyo, kabla haijavaana na USM Algiers ya Algeria kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika.

Comments

Popular posts from this blog

Msimu Mpya: Samatta Afanya Maangamizi Ubelgiji

ALIYEIPELEKA TAIFA STARS AFCON 1980 AFUNGUKA WALIVYOPAMBANA – VIDEO

Simba Vs Azam: Mtakula za Kutosha!