KIKOSI CHA TAIFA STARS KILICHOTAJWA LEO



Kocha wa timu ya taifa ‘Taifa Stars’ Emmanuel Amunike ametangaza majina ya wachezaji watakaounda kikosi cha timu ya taifa kwa ajili ya mechi ya kufuzu mataifa ya Afrika Cameroon 2019 dhidi ya Uganda September 8 
Magolikipa:
Aishi Manula ,Benno Kakolanya ,Mohamed Abdulrahman
Mabeki:
Shomary Kapombe,Hassan Kessy, Erasto Nyoni,Agrey Moris ,Andrew Vincent,Kelvin Yondani, Gadiel Michael na Abdi Banda
Viungo
Himid Mao ,Jonas Mkude,Simon Msuva, Shiza Kichuya, Farid Mussa,Mudathir Yahaya, Faisal Salum na Hassan Dilunga
Washambuliaji
Mbwana Samatta,Thomas Ulimwengu, John Bocco, Zayd Yahaya, Shabani iddi na Rashid Mandawa

Comments

Popular posts from this blog

Msimu Mpya: Samatta Afanya Maangamizi Ubelgiji

ALIYEIPELEKA TAIFA STARS AFCON 1980 AFUNGUKA WALIVYOPAMBANA – VIDEO

Simba Vs Azam: Mtakula za Kutosha!