HABARI ZA KIMATAIFANANI KUIBUKA KIDEDEA KWENYE TUZO ZA MCHEZAJI BORA EUFA 2017/2018
Christiano Ronaldo,Lucas Modric na Mohamed Salah wameingia kwenye kinyang’anyiro cha kugombania nafasi ya uchezaji bora wa michuano UEFA kwa msimu wa mwaka 2017/2018.
Christiano Ronaldo na Modric walisaidia timu ya Real Madrid kuibuka na ubingwa ya klabu bingwa barani ulaya msimu wa 2017/2018 huku Mohamed Salah ilikuwa ni miongoni mwa wachezaji waliosadia timu ya Liverpool kutinga hatua ya fainali.
Comments
Post a Comment