HABARI ZA KIMATAIFA RAYON SPORTS WAWACHUKULIA POA YANGA
Kaptain wa Rayon Sports ya Rwanda Abdul Rwatubyaye amesema Rayon Sports wanaenda kuwavaa Yanga wakiwa hawana presha yoyote kwa kuwa Yanga hawana cha kupoteza hata kama wakifungwa.
Mechi ya Rayon Sports vs Yanga itapigwa leo jumatano saa 10:30 kwa muda wa tanzania
Comments
Post a Comment