HABARI ZA KITAIFAHAJI MANARA ATANGAZA VINGILIO VYA SIMBA DAY
Msemaji wa klabu Simba Haji Manara amefanya mkutano leo na wandishi Wa habari maeneo ya Serena hotel kubwa akiongelea kuelekea tamasha la simba day ambalo litafanyika siku ya Jumatano tar 8 mwezi huu. Manara ametaja vingilio vya mechi yao ya Simba dhidi ya Asante kotoko kama ifuatavyo. mzunguko elfu 5000 ,VIP B elfu 15000 na VIP A elefu 20,000 .amesema timu yao leo itacheza mchezo Wa kirafiki Wa pili dhidi ya ittahadi Riaddi majira ya saa kumi na nusu pia amesisitiza kuwa tamasha lao la simba litasindikizwa na burudani ya muziki ya wasanii kama Tundamani,Msaga sumu,Mwasiti , huku kwenye upande wa dansi mmiliki wa bendi ya Twanga Pepetahaji Asha Baraka alihakikisha kuwa twanga pepeta itakuwepo siku hiyo kuwapa burudani wapenzi wa Simba,manara pia aliongelea klabu Simba itarudi siku ya jumapili kutokea uturuki ambako iko kwenye kambi ya maandalizi ya msimu ujao na mechi za kimataifa.
Comments
Post a Comment