NUNUA GAZETI LA CHAMPIONI UJISHINDIE SIMU NA MKWANJA
GAZETI la Championi kuanzia leo litakuwa na zawadi mbalimbali kwa ajili ya wasomaji wake.
Msomaji atakayenunua gazeti hili na mengine ya Championi atakuwa na nafasi ya kujishindia fedha taslimu kuanzia shilingi 5000, 10,000, 20,000, simu za mkononi na zawadi nyingine nyingi.
Unachotakiwa kufanya ni kununu gazeti, fungua ndani kwenye ukurasa mmoja utakuta stika ambayo imebandikwa, ifungue utakuta zawadi yako ndani, baada ya hapo piga simu kwenye namba iliyopo kwenye stika hiyo na ujitambulishe jina, umri, sehemu ulipo na zawadi uliyoshinda.
Baada ya hapo utapewa maelekezo ya jinsi ya kupata zawadi yako. Angalizo usipoteze gazeti wala kuponi ulioshindia zawadi hiyo, kadiri unavyonunua magazeti mengi ndiyo una nafasi ya kushinda zawadi nyingi zaidi.
Na Mwandishi Wetu
Comments
Post a Comment