AZAM FC MABINGWA MARA TATU MFULULIZO KOMBE LA MAPINDUZI
Timu ya Azam FC wameifunga Simba SC kwa bao 2-1 kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar, na kufanikiwa kutwaa Kombe la Mapinduzi kwa Mara ya 3 sasa. Wafungaji wa Azam ni Mudathir Yahya na Obrey Chirwa ameifungia Azam FC bao la pili akimalizia kwa kichwa krosi ya Nickolas Wadada dakika ya 72.
Bao la Simba lililofungwa na Yusuph Mlipili dakika ya 63.
Comments
Post a Comment