ANZA MWAKA 2019 VIZURI KWA KUBEBA MAMILIONI KIRAHISI NA SOKABET



HII ndiyo Januari ya mwaka 2019, huu ndiyo wakati sahihi wa kufanya maamuzi ya maisha yako kujua ramani itakuwaje kwa mwaka wote huu.

Unachotakiwa ni kujiwekea akiba, upande wa pili Sokabet ambayo ni kampuni inayojihusisha na mchezo wa kubashiri matokeo ambayo huduma zake ni za kiwango cha juu tofauti, inaweza kukutimizia sehemu ya mipango yako kwa kushiriki kwa kiwango kidogo tu cha fedha.

Sokabet inakuwezesha kubashiri matokeo kupitia tovuti ya www.sokabet.co.tz pia unaweza kufanya hivyo kwa kutumia simu yako ya mkononi ambapo unaweza kupata hadi Sh milioni 100 kwa kubet.

ANZA KUSHIRIKI SASA
Kama bado haujajiandikisha, unaweza kufanya hivyo leo kwa kuingia www.sokabet.co.tz bonyeza ‘SIGN UP’, jaza nafasi chache zilizo wazi, ukimaliza utatumiwa namba yako ya siri kwa njia ya SMS.

Rejea sehemu iliyoandikwa ‘LOGIN’, andika namba yako ya simu, ingiza namba ya siri uliyotumiwa kwa SMS, hapo utakuwa umeshaingia kwenye akaunti yako rasmi.
Utakaporejea baadaye kufungua tovuti hiyo, hutakuwa na haja ya kujiandikisha upya, badala yake utaingiza namba yako ya simu kisha namba ya siri tu basi.

Mratibu wa Sokabet, John Joseph amezungumza juu ya huduma zao kwa kueleza kuwa kuna njia nyingine ya kujisajili kupitia simu ya mkononi ambayo ni rahisi tu.

INGIZA FEDHA UANZE KUBETI
Vodacom, bonyeza *150*00#, chagua namba 4 (lipa kwa M-pesa), chagua namba 4 (weka namba ya kampuni), ingiza namba ya kampuni ambayo ni 335757, ingiza kumbukumbu ambayo ni neno ‘Sokabet’. Ingiza kiasi unachotaka kuweka mfano Sh 1,000 au 2,000 na kuendelea, malizia kwa kuingiza namba yako ya siri na bonyeza namba 1 kukamilisha.

Tigopesa, bonyeza *150*01#, chagua namba 4 (lipia bili), bonyeza namba 3 (ingiza namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, ingiza neno ‘Sokabet’, malizia na namba yako ya siri ya Tigopesa.

Airtel Money, bonyeza *150*60#, chagua namba 5 (lipia bili), bonyeza namba 4 (namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, ingiza kumbukumbu namba (neno ‘Sokabet’), kisha namba yako ya siri ya Airtel money.
MICHEZO NI MINGI
Michezo unayoweza kubet ndani ya Sokabet ni mingi, baadhi ni: American football, baseball, kikapu, kriketi, gofu, mpira wa mikono (handball), ice hockey, mbio za magari, ragbi, tenisi, volleyball na ndondi.

KIWANGO CHA CHINI SH 200 TU
Ukishaingiza fedha katika akaunti yako ya Sokabet, unaweza kuanza kubeti hata ukiwa na shilingi 200 tu.

SOKABET APPLICATION!
Unaweza kubashiri kupitia application ya Sokabet ambayo ukitaka kuipata, tembelea www.sokabet.co.tz kisha DOWNLOAD na INSTALL kwa matumizi rahisi ya kila siku.

TUMIA *148*89#
Kutumia mfumo wa USSD unawezesha kubashiri kwa kutumia simu, kufuata mchakato ufuatao, piga *148*89# kisha utakaribishwa ndani ya huduma za Sokabet wa ujumbe wa ‘Karibu Sokabet’, utapewa orodha hii:
 
  1. Bet na Odds za mpira
  2. Jackpot Bets
  3. Weka pesa
  4. Toa pesa
  5. Salio
  6. Mkeka
  7. Msaada
  8. Jisajili

TUMIA SMS NAMBA 15800
Kupitia ujumbe mfupi wa maandishi (SMS) pia unaweza kubeti na mambo mengine mbalimbali yanayohusu Sokabet:

KUBET MECHI MOJA
(Single Bet)
Andika Neno Bet <AchaNafasi>Code ya Mechi>Ubashiri*kiasi cha pesa>TUMA KWENDA 15800

Mfano: Bet 28983#2*1000
TUMA KWENDA 15800

Namba 2 inamaanisha timu ya ugenini, namba 1 ya nyumbani, kama ni sare unaweka X. Namba 28983 ni code namba ya mchezo ambayo inapatikana kwenye tovuti ya Sokabet au gazeti kuhusu mchezo husika.

KUBET MECHI ZAIDI YA MOJA (Multiple Bet) 
Bet<AchaNafasi>Code ya Mechi>Ubashiri+Code ya Mechi>Ubashiri+Code ya Mechi>Ubashiri*kiasi cha pesa. TUMA KWENDA 15800.

Mfano: Arsenal+Chelsea+Liverpool
Bet 28983#2+28916#1+29911#X*1000
KISHA TUMA KWENDA 15800

HUDUMA NYINGINE ZA 15800
Unaweza kuitumia namba 15800 kupata huduma nyingi, mfano kama umesahau PIN yako ya akaunti na kuangalia salio.
PIN = Tuma neno PIN tuma kwenda 15800
SALIO = Tuma neno SALIO kwenda 15800
SOKABET = Kujisajili na Sokabet tuma neno SOKABET kwenda 15800
TOA = Kutoa pesa kutoka akaunti ya Sokabet kwenda Mpesa/Tigopesa/Airtel Money andika neno TOA acha nafasi kisha kiasi tuma kwenda 15800. MFANO: TOA 2000.
Na Mwandishi Wetu.

Comments

Popular posts from this blog

Msimu Mpya: Samatta Afanya Maangamizi Ubelgiji

ALIYEIPELEKA TAIFA STARS AFCON 1980 AFUNGUKA WALIVYOPAMBANA – VIDEO

Simba Vs Azam: Mtakula za Kutosha!