KIKOSI CHA SIMBA -DJIBOUT KWA AJILI YA MCHEZO WAO NA GENDARMERIE KESHOKUTWA JUMANNE
Kikosi cha Simba kimeondoka jioni ya leo kwenda nchini Djibout kwa ajili ya mchezo wao wa pili dhidi ya Gendarmerie Nationale, keshokutwa Jumanne.
Kikosi kilichosafiri leo kuelekea Djibout ni:-
(1) Aishi Salum Manula
(2) Emanuel Elias Mseja
(3) Mohamed Hussein Mohamed
(4) Mzamiru Yassin Said
(5) Bukaba Paul Bundala
(6) Emmanuel Arnold Okwi
(7) Moses Peter Kitandu
(8)Shiza Ramadhani Yahya
(9) Nicholas Gyan
(10) Erasto Edward Nyoni
(11) James Agyekum Kotei
(12) Shomari Salum Kapombe
(13) Mwinyi Kazimoto Mwitula
(14) Jonas Gellard Mkude
(15) John Raphael Bocco
(16) Ally Shomary Sharifu
(17) Said Hamisi Juma
(18) Yusufu Seleman Mlipili
(19) Murushid Juuko
(20) Kwasi Asante
Comments
Post a Comment