ANZA MWAKA 2019 VIZURI KWA KUBEBA MAMILIONI KIRAHISI NA SOKABET
HII ndiyo Januari ya mwaka 2019, huu ndiyo wakati sahihi wa kufanya maamuzi ya maisha yako kujua ramani itakuwaje kwa mwaka wote huu. Unachotakiwa ni kujiwekea akiba, upande wa pili Sokabet ambayo ni kampuni inayojihusisha na mchezo wa kubashiri matokeo ambayo huduma zake ni za kiwango cha juu tofauti, inaweza kukutimizia sehemu ya mipango yako kwa kushiriki kwa kiwango kidogo tu cha fedha. Sokabet inakuwezesha kubashiri matokeo kupitia tovuti ya www.sokabet.co.tz pia unaweza kufanya hivyo kwa kutumia simu yako ya mkononi ambapo unaweza kupata hadi Sh milioni 100 kwa kubet. ANZA KUSHIRIKI SASA Kama bado haujajiandikisha, unaweza kufanya hivyo leo kwa kuingia www.sokabet.co.tz bonyeza ‘SIGN UP’, jaza nafasi chache zilizo wazi, ukimaliza utatumiwa namba yako ya siri kwa njia ya SMS. Rejea sehemu iliyoandikwa ‘LOGIN’, andika namba yako ya simu, ingiza namba ya siri uliyotumiwa kwa SMS, hapo utakuwa umeshaingia kwenye akaunti yako rasmi. Utakaporejea baa...