SPOTI HAUSI: UKWELI KUHUSU USAJILI WA ‘TUYISENGE’ SIMBA – VIDEO
Kipindi cha Spoti Hausi leo kipo tena hewani ambapo wachambuzi wako watakuwa wakikuletea uchambuzi mbalimbali kuhusu kufuzu kwa Stars kwenye Kombe la Mataifa Afrika, maandalizi ya Simba ya mechi ya Simba na TP Mazembe.
Lakini pia kuna ukweli gani juu ya mshambuliaji wa Gor Mahia, Tuyisenge ambaye anatajwa kuwa hapa nchini kwa ajili ya kujiunga na Simba.
Comments
Post a Comment