ALIYEIPELEKA TAIFA STARS AFCON 1980 AFUNGUKA WALIVYOPAMBANA – VIDEO



Mchezaji wa Zamani ambae aliisaidia Tanzania kuvuka katika hatua ya kushiriki michuano ya AFCON Mwaka 1979/80 na ndiye aliyeipatia Tanzania goli la Uhsindi, BENEDICT KINOPO, jana Ijumaa, Machi 22, 2019 alifika katika Uwanja wa Taifa na kuwapa hamasa vijana wanaoichezea timu hiyo ili washinde katika mechi ya Jumapili dhidi ya Uganda.

Watanzania wanaimani na Timu ya Taifa kuwa itaibuka na ushindi katika mechi hiyo ambapo kuwa hamasa vimetenghenezwa ili Taifa stars kuona kama hawapo peke yao katika mbio hizo za kutaka kuvuka hatua hiyo.
BAADA YA KUSHIRIKI HUU NDIYO ULIKUA MSIMAMO WA MATOKEO KWENYE KUNDI A, AMBALO TAIFA STARS ILIKUWA

TAZAMA VIDEO AKIFUNGUKA


Comments

Popular posts from this blog

Msimu Mpya: Samatta Afanya Maangamizi Ubelgiji

Simba Vs Azam: Mtakula za Kutosha!