NIYONZIMA kuchukuliwa hatua za kinidhamu?





Image result for niyonzima simba
KAIMU Rais wa klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam, Salim Abdallah ‘Try Again’ amesema kwamba kiungo Mnyarwanda Haruna Niyonzima atachukuliwa hatua za kinidhamu kwa kuchelewa kurejea nchini kujiunga na timu baada ya ruhusa maalum aliyopewa kuisha.

Comments

Popular posts from this blog

Msimu Mpya: Samatta Afanya Maangamizi Ubelgiji

BAADA YA KUFUZU KIBABE KWENDA 8 BORA CAF….HILI HAPA NENO LA MO DEWJI KWA SIMBA…